Hydroxyurea kwa ugonjwa wa selimundu
Drug A-Z
Mtoto wako anahitaji kutumia dawa inayoitwa hydroxyurea. Karatasi hii ya maelezo inaeleza jinsi hydroxyurea inavyofanya kazi na jinsi inavyotolewa kwa mtoto wako. Pia inaeleza madhara au matatizo ambayo mtoto wako anaweza kupata anapotumia dawa hii.